Kuhusu kurudia mitihani kidato cha nne.

Kuhusu kurudia mitihani kidato cha nne.

Amanda187

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Habari za kazi,Shule,kulala nk
Jamaniiiiiiiiii naombeni msaada kuhusu namna ya kupata centre ya kurudia mitihani aw kidato cha nne(wale wa division 0).....Nimeenda makongo nikaambiwa elfu kumi na Ada laki nne na nusu,nikaomba namba ya kituo nikaambiwa mpaka nitakapolipa Ada ....nikaenda necta kupata list ya vituo wakaniambia nikatafute tu ....Mimi hapa dar mgeni naomba msaada.thanks.
 
Back
Top Bottom