djesco
Senior Member
- Jun 26, 2013
- 166
- 52
habari wakuu nina duka langu hapa mjini ila nataka niwe naenda kuchukua mchele mwenyewe huko morogoro asa naomba kwa yeyote anayewefanya hii tusaidiane ili wakati anakodi let say gari nzima na mie niwe napakiza kwake walau gunia 5 ila kuna mtu kaniambia kuwa kuna treni kutokea ifakara nataka nijue kwa kila gunia moja kwenye treni watanichaji tsh.ngapi!? NAWASILISHA