Kuhusu kuwa admitted in tcu

IDUKILO

Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
14
Reaction score
3
ndugu zangu wana jf inamaana kuwa ukiambiwa kuwa umekuwa admitted,kwa hiyo inamaana kuwa wewe tayari umepata chuo na mkopo au tutasubiri kuambiwa kuwa umechaguliwa lakini mkopo hupati au vipi?.
 
Post ya chuo ikitoka ndo mkopo utajua umepata au la...# they come togethr
 
Jaman vp ikiwa umeandkwa "u a nt admitted" unafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…