Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

Aite press conference na kuomba msamaha, otherwise sheria itachukua mkondo wake..
#sisituwachachelakinitunaumoja
#hapatatokeammojawetukututenganisha
#kutukebehi
#tutapambanakwahojampakakieleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo terrorist la kisomali unateka mtoto wake mmoja na kumtesa lielewe machungu aliyopitia the great tundu lissu.
 
Kitendo cha rais wa TFF Walles Karia kulinganisha Bonifasi Wambura na Tundu Lissu kuwa hataki watu wenye utundu Lissu katika soka kuwakela baadhi ya wanachama wa vyama vya upinzani nchini. Hii inaweza kusababisha wanachama wa vyama vya upinzani nchini kuona kuwa viongozi wa vyama vya mchezo nchini ni miongoni mwa wanaovichukia vyama vya upinzani nchini na kupelekea na kupelekea wafuasi wa vyama hivyo kutojitokeza viwanja,na hii inaweza kufanya timu zetu kutofanya vyema kutokana na kukosa hamasa.Namuomba rais huyo siasa awaachie wanasiasa wenyewe na yeye ajikite zaidi katika soka ili timu zetu zifanye vizuri katika soka.Pia nawaomba wote walioguswa na kauli ya TFF kumsamehe Walles na hii isije ikawafanya washabiki wa vyama vya siasa kuingia viwanjani na bendera za vyama vyao badala ya bendera ya taifa au za virabu.
 
Unajaribu kumpigia MBUZI gitaa, huyu ni Rais wa TFF aliyefeli tangu siku anachaguliwa. Nilipoona watu wnamwangusha Mtanzania na kumsimika Msomali nikajua kaburi la soka limechimbwa. Ni Mara ya pili sasa katika historia ya nchi yetu soka kuongozwa na raia wa kigeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sisi kina gogo la shamba hatutokwenda viwanjani mpaka Karia atoke ndio msimamo wetu wenye kutuunga mkono tutakuwa pamoja
 
Mkuu mimi naomba tuanze sasa kuyaanika maovu yake maana naona ameamua kutuchokoza

In God we Trust
Kwa akili zenu hizi kama za nzi ndio mnataka mpewe nchi muongoze....Kwa hiyo madudu ya MTU hamuyasemi mpaka muone kuwa anawakosoa miungu watu wenu.

Mjifunze kwanza Kwa Magu kabla nyie hamkuona udhaifu mahala Fulani yeye kashauona na kuufanyia marekebisho kabla ya hata kelele zenu kama mlivyozoeaga hapo nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Jamani Jamani ukifika wakati was kampeni mjue Moira ndo unaingizwa kwenye siasa ...kumbekeni mtasikia kuna mashindano ya mbunge ....Mara utasikia kombe la mbunge yaani balaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…