Tatizo la ripoti ya CAG: Watekelezaji wanapata madaraka kwa wizi, leo eti tuwaamini kutekeleza

Tatizo la ripoti ya CAG: Watekelezaji wanapata madaraka kwa wizi, leo eti tuwaamini kutekeleza

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Mama Samia anaona kama anapotezewa muda tu kwasababu anachofikiria ni makusanyo ya pesa ili wapige deal na marafiki na ndugu zake!

Mfano deal ya Kia na miradi mingi. Hakuna hata nia ya kupambana na rushwa.

Wizi wa kura, utekaji, uzuiaji wa wapinzani yote haya yanaonyesha hatuna wazalendo serikalini sasa Watanzania hatutaweza kuwaamini watu ambao ni wezi, watekaji, na wandugu kwa kiasi hiki


View: https://www.youtube.com/live/Z8Pn57yReAE?si=sK3gY0n-CVdcE754
 
Ukweli ni kwamba hatuwezi kuona matokeo mengine tofauti kwa sababu watu wanaotuongoza ni walewale.

Kila mwaka mambo yatakuwa hivihivi tu.
 
Haya ma riport ukiyasoma yanaweza kukufanya ukakosa raha wiki nzima kiasi hata kumgusa mkeo/mumeo ukawa huna hamu as if unaigusa CCM.
Hii nchi imeoza. CCM wanaibaka nchi kwa zamu, sasa hivi CCM zanzibar imeshikilia usukani.

Pole Tanganyika, unateketea na wachache wanaojaribu kukutetea waishia kupigwa risasi hadi kufa, vilema, wakimbizi, magelezani, kufilisiwa, kubakwa kwa zamu na udhalilishaji wa hali ya juu.

Inakatisha tamaa, ila yote ya mwisho. Wahenga walisema kila lenye sura lina kisongo.
Mdogo mdogo wataachia tu
 
Watu wanasoma ripoti kama gazeti, hapo waliohudhuria utakuta kuna posho wanapewa ndefu Tu hahaha, yaani mnasoma madudu halafu na posho mnapewa dadeki.
 
Back
Top Bottom