kuhusu mafuta ya ubuyu

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
253
Reaction score
52
habari zenu wana jf doctor,za siku nyingi?hope wazima wote
samahani nimesikia kua mafuta ya ubuyu yanapunguza unene ni kweli?

Mana kwa jinsi nilivo yaona yapo kama korie hata harufu pia,
na kama yanapunguza unene je unayanywa au wafanyaje?
Natanguliza shukran zangu za dhati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…