Tukisema waliotufikisha kuwa nchi mbovu naanza kuwataja.
Nyerere ndio katuletea haya ili kujilindia madaraka leo utamlaumu nani.
Mwinyi alijua kuruhusu walafi wa mali ndio maana tuna familia zinaongoza nchi mpaka mwanae.
Mkapa kwenye kubinfsisha kila kitu mwisho wa siku hata serikali aina uwezo wa kumiliki rasilimali mfano bandari tu.
Kikwete huyo hata ukisema ndio kageuza nchi kuwa genge.
magufuri huyu kama alitaka sheria za utawala wa museveni kuwepo sasa tunaumia na samuya maana msingi wa ubovu alibeba kijiti kuua uhuru wa maono,haki leo utalaumu nani.