Sam Richards
Member
- May 3, 2019
- 76
- 155
Ifike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko.
Hivi haiwezekani kuwatandika viboko hawa manabii wanaozuka kama uyoga mitaani? Kuna nabii mmoja Channel 10 wa mwenge mpakani anapiga mayowe na kujitupa kwenye matope wengine wanasababisha kelele tu mitaani nafikiri NEMC wasimamie suala hili vizuri maana Dar sasa hivi kila kona wahubiri uchwara wapo na wengine hata BIBLE SCHOOL hawajapita.
Tuje tuwachape MBOKO tu hawa.