Sam Richards
Member
- May 3, 2019
- 76
- 155
wenye imani haba wasiojua maandiko watatekwa sana na manabii hao. Unakuta kijana ana chupa kubwa ya mafuta anayaita ya mzeituni akijiita nabii. Katabiri nini, kafanya nini cha kinabii? HaijulikaniIfike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko.
Hivi haiwezekani kuwatandika viboko hawa manabii wanaozuka kama uyoga mitaani? Kuna nabii mmoja Channel 10 wa mwenge mpakani anapiga mayowe na kujitupa kwenye matope wengine wanasababisha kelele tu mitaani nafikiri NEMC wasimamie suala hili vizuri maana Dar sasa hivi kila kona wahubiri uchwara wapo na wengine hata BIBLE SCHOOL hawajapita.
Tuje tuwachape MBOKO tu hawa.
Je kuna aliyewahi kufungwa kamba akabuluzwa mpaka huko kwa manabii wa uongo? Kama mtu amejawa na ujinga acha aliweIfike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko.
Hivi haiwezekani kuwatandika viboko hawa manabii wanaozuka kama uyoga mitaani? Kuna nabii mmoja Channel 10 wa mwenge mpakani anapiga mayowe na kujitupa kwenye matope wengine wanasababisha kelele tu mitaani nafikiri NEMC wasimamie suala hili vizuri maana Dar sasa hivi kila kona wahubiri uchwara wapo na wengine hata BIBLE SCHOOL hawajapita.
Tuje tuwachape MBOKO tu hawa.
Wezi tu hao ni matapeli wa kidini
Tatizo la Manabii ni sawa tu na tatizo la Dada poa,ali mradi kuna Wateja/Waumini mtahangaika sana kuwazima.
Nabii Soja Mega One, simuelewi kabisa na ibada zàke za kujipaka matope machafu mwili mzimaIfike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko.
Hivi haiwezekani kuwatandika viboko hawa manabii wanaozuka kama uyoga mitaani? Kuna nabii mmoja Channel 10 wa mwenge mpakani anapiga mayowe na kujitupa kwenye matope wengine wanasababisha kelele tu mitaani nafikiri NEMC wasimamie suala hili vizuri maana Dar sasa hivi kila kona wahubiri uchwara wapo na wengine hata BIBLE SCHOOL hawajapita.
Tuje tuwachape MBOKO tu hawa.
Kuna mwingine huku kila kitu kaandika SHEFADI BUHIRIWanawake ndio wanawaendekeza hawa jamaa,hasa wake wa watu,nina mshkaji wangu yeye kila saa kwenye status zake ni bushiri tu,nishampigia kelele lakini wapi,yani wameshikwa pabaya kiasi kwamba hawasikii lolote,huwa nashindwa kuelewa kwanini wanashindwa kuwatambua hawa manabii kuwa ni wajanja wajanja tu hamna lolote
Kamata chapa fimbooo hao ni matapeliNabii Soja Mega One, simuelewi kabisa na ibada zàke za kujipaka matope machafu mwili mzima
Mwamposa ni TapeliIfike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko.