naomben mnisaidie ....kujua kuna utaratibu gani wa kufuataa wakati wa kuomba mkopo kwa sie tulimazma form six mwaka jana baada ya kukosa ...sikwenda kulpoti chuo ....
Kama Bodi hawajatoa majina unasajiliwa hata ukiwa na nusu kwa matazamio kuwa huenda ukapata mkopo. Lkn Bodi ya mikopo wakishatoa orodha inakubidi kumalizia mwenyewe kama hukupata mkopo
Unaomba kawaida tu kama mwanzoni hata kwa walioaply wakakosa nakuspeal wakakosa pia wanaweza kuaply upya ila waandikishe majina yao kwa afisa mikopo wa chuo husika ili matokeo yao yapelekwe bodi ya mikopo
kuweni makinin katika kuomba mkopo kuanzia viambata vyote vinavyotakiwa bila viambata sahihi kama ulivyojaza fomu yako online huwezi pata mfano umesema mzazi wako ni mlemavu then kwenye fomu hujaambatanisha supporting document ujue umeumia so kuweni makini