Naomba kujuzwa eti bodi ya mikopo tayari wameshatoa form za kuomba mikopo kwa form six leaver??? Nijuavyo huwa wanaanza baada ya matokeo kutoka....ila kuna mtu kaniambia wameanza....msaada wadau kwa mwenye taarifa rasmi