Kuhusu Marioo...

kweli hatufanani kama CCM na CHADEMA ila kumfananisha Marioo na Baraka da prince ni kumkosea heshima..

chukueni muda kumsikiliza then mje kuCompare upya
 
Hapo kwenye mashairi ni wivu tu unakusumbua, nenda kasikilize kwa utulivu na umakini nyimbo zake tatu tu. Raha, Inatosha na Dar kugumu kisha uje urekebishe kauli yako.

Ila penye ukweli ni hapo anapo taka kujilinganisha na konde boy ama Kiba dogo aache utani kabisa. Kipaji anacho ila bado hajafika level za hao watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CLOUDS wakiamua kumfanya hata harmorapa awe king wanaweza,yani wanaweza mpamba mtu hadi ukatamani umjue huyo mtu ukimfatlia mtu mwenyewe hamna kitu.

Ni kawaida yao kukuza wasanini kwa style ya kuwa rank kwenye level zitazowafanya wote mtamani kumskia,tunachokifanya hapa kwenye thread ndiyo lengo no.1 la CLOUDS kwa mario,ila huyo bi dogo nikimpa hata Mbosso/killy hamuwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…