Kuhusu Marioo...

Mbosso muimba kaswida??
 
young gun, Kwangu mimi Baraka kamzidi mbali Marioo, kilichompoteza Baraka ni nidhamu ila kipaji anacho

Sent using Jamii Forums mobile app
Baraka da prince huyu huyu ambae hajawahi kuandika wimbo hata mmoja nyimbo zote anaandikwa hadi na melody anasaidiwa? Baraka huyu huyu ambae baada ya kugombana na wanaomuandikia kashindwa kuandika wimbo hit song hata mmoja? Baraka huyu huyu anayeimbia puani? Baraka huyuu huyu KWENYE wimbo wa bright alirudia kutaja MOYO WANGU Mara 9?
 
Mbosso habadiliki uimbaji wake ule ule nyimbo zile zile,mahadhi Yale Yale,kila siku kachori maandazi nipeepe,nikande nisugue wtf? Ngoma km paranawee,haimbi yule gemu itamshinda
Bora hata na Aslay
 
MARIOO ni msanii bora kabisa kwa upcoming..huwezi kumfananisha na msanii yoyote yule mpya …..
 
Ni wa kwaida sana hasa kwa style yake, anakua anapambwa mno ila sioni miujiza maana wa aina yake wako wengi, kimsingi asivimbe aongeze juhudi aje kua bora ila kwa sasa kuna Marioo, Bright, Mo Music, Baraka de Prince, J melody, Nedy Music na wa ain hii wengi wakaze maana style zao ni kama zile zile so inaku kawaida sana hata ukiskia anaachia ngoma hushtuki.
 
Acha kumfananisha Marioo na vitu vya ajabu ajabu Kama Baraka Da prince, Aslay na Ben Pol

Ukiachilia mbali wasanii Diamond, Harmonize na Rayvanny,msanii mkali Ni Marioo.

 
Acha kumfananisha Marioo na vitu vya ajabu ajabu Kama Baraka Da prince, Aslay na Ben Pol

Ukiachilia mbali wasanii Diamond, Harmonize na Rayvanny,msanii mkali Ni Marioo.
Aslay na jux ni wakali kuliko marioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…