Nime penda ulivyo compose heading yako lakini content haiendani kabisa anyway mwanzo mgumu pia karibuni tujifunze....!!!who ever said a penguin can not fly.........(Madascar Escape to Africa 2)
Kwa faida ya thread starter Nokia3D na wengine, matokeo yanayotarajiwa kutangazwa ni ya kidato cha nne 2012, si kidato cha nne 2013 sababu wao hawajafanya hiyo CSEE.
Laiti ingekuwa simu ukiichezea sana inaripuka, basi yangu ingebaki majivu kwa kusubiri matokeo simu imoto kama inahoma kali,du na wayatoe tu presha juu kwa juu.