Technology ya satellite ndio njia pekee ya kuwatafuta watu wote waliopotezwa. Tukio la hivi karibuni la Mdude Nyagali kuvamiwa na majambazi watekaji wauaji usiku wa manane nyumbani kwake . Vyombo vya ulinzi vilivyopa kutulinda vimeshindwa kujua wako wapi Raia wake hatuko salama tena.
Nani atasimamia huo mfumo, ukizingatia tuna jamii inayo jizima data yaani kuahirisha kufikiri kizalendoTechnology ya satellite ndio njia pekee ya kuwatafuta watu wote waliopotezwa.
Tukio la hivi karibuni la Mdude Nyagali kuvamiwa na majambazi watekaji wauaji usiku wa manane nyumbani kwake .
Vyombo vya ulinzi vilivyopa kutulinda vimeshindwa kujua wako wapi Raia wake hatuko salama tena.
Nani atasimamia huo mfumo, ukizingatia tuna jamii inayo jizima data yaani kuahirisha kufikiri kizale
Watu wasiojulikana ni taasisi tena imara ambayo hao watu wanajulikana lakini kumbe hawatakiwi wajulikaneTuombe msaada kutoka kwa BBC Africa Eye. Wafanye uchuguzi kwa kutumia Google satellite images. Maana bila kuwamulika hawa wauaji wataendelea kuteka na kupoteza Raia