kuhusu mikopo elimu ya juu!

kuhusu mikopo elimu ya juu!

Babu mchumi

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
62
Reaction score
11
habari zenu the great thinkers!!
naomba niulize kwa anayefahamu,majibu ya mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea(continuous) yatatoka lini,au ndo hakuna tena?kwa sababu yametolewa majibu ya first year pekee
kama walijua hakuna pesa ya continuous kwa nini wasingewakataza wasiombe??hii si ni kama kuwaibia tuu??
kwa anayefahamu naomba anijulishe hili!!
nawasilisha!!
 
mm naona yatatok tu, wameanza kuyatoa ya first year kwasababu wao wanawahi kuripot vyuoni, ucwe na hofu jarbu kuvuta subira
 
  • Thanks
Reactions: Tky
Back
Top Bottom