Kuhusu mikopo

munally14

Member
Joined
Mar 5, 2020
Posts
84
Reaction score
87
Habar wana jf naomba msaada wa taasisi zinazohusika kutoa mikopo kwa waajiriwa au hta wafanya biashara
Ziwe ni taasisi zilizosajiliwa maana huku mitandaon kuna taasis nyingi za utapeli
 
Hujui bank kubwa nchini zinako patikana na majina yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…