Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Nimesoma hiki kitabu kipya cha TCU mwaka 2015 na nimeona kitu fulani ambacho sikuwahi kukiona kabla kuwa sasa mtu kozi hizo tajwa hapo juu kwa lever ya degree ni kwamba atatakiwa na angalau pass mbili kwa wale waliomaliza nyuma ya 2014,kwahiyo hii ina maana aliye na S mbili anaruhusiwa kuzisoma?,kwa wenye kujua hilitafadhali wanijuze