Kuhusu Mining and Petroleum Engineering, UDOM

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Nimesoma hiki kitabu kipya cha TCU mwaka 2015 na nimeona kitu fulani ambacho sikuwahi kukiona kabla kuwa sasa mtu kozi hizo tajwa hapo juu kwa lever ya degree ni kwamba atatakiwa na angalau pass mbili kwa wale waliomaliza nyuma ya 2014,kwahiyo hii ina maana aliye na S mbili anaruhusiwa kuzisoma?,kwa wenye kujua hilitafadhali wanijuze
 
soma vzr kwa 4m6 wa mwaka jana anatakiwa kuwa na d mbl nyuma ya hapo malizia kusoma
 



mkuu umekuwaje s sio pass ni , pass ni D,C,B, na A
 
kwanza hujaambiwa pass ila umeambiwa principle pass ambayo kwa mwaka kabla ya 2014 ilikuw ni A,B,C,D na E lakin uctegemee kupata E mbil utasoma mining au petroleum hzo ni minmum requirement tu ila cyo kwamba weny hvyo vgezo wote watachaguliwa utaachwa kw sabab ya kwamba waliofaul zaid yako ni weng ila kiukwel hauna sifaaa
 
Kama una s mbili achana na hiyo kozi. Utakosa chuo tena mwaka huu. Ha ha ha ha
 
Mkuu ka ni petroleum engineering ni ngumu sana kwan kila mtu anataka kusoma hio kozi!mwaka jana madogo wenye div 1 na 2 ndo wamechaguliwa hio kozi UDOM!labda mining unaweza jarib kuomba kwan wanachukua wengi hata 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…