Kuhusu mitihani ya Taifa kozi za afya

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
Habarini humu, Kuna tetesi ambazo zinaonekana kama ni kweli hivi. Kwamba mwaka huu vyuo vya afya ngazi ya cheti na sitashahada kutakuwa na mitihani ya Taifa kutoka nacte., ila mpaka sasa ratiba hazijafika vyuoni ila inasemekana mitihani itaanza tarehe 3 agosti, kwa wale ambao wapo karibu na nacte au wenye taarifa kamili watujuze, ila ikumbukwe tayari Wanachuo waliambiwa walipie mitihani hiyo Tsh laki moja na nusu na tayari fedha hizo zimelipwa. Karibun kutujuza jamani.
 
Hiyo 150,000/= muliyotoa ni kwaajiri ya kusaidia kulipa gharama za wasimamizi wa mitihani huwa inatolewa kila mwaka nafkiri hata mwaka juzi na mwaka jana walitoa embu waulize wenzenu walio watangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…