Kuhusu mkopo

Kuhusu mkopo

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
mimi ni mwanafunz wa mwaka wa kwnza katika chuo cha IFM hapa jijin dar. Wakati wa kuingia chuo sikuweza kupata mkopo kwa kuchelewa kurudisha fomu husika. Je,nitakapoingia mwaka wa pili nikaomba ninaweza kupata? Na je nitaomba kama continuing student au ntaomba kama freshers? Naomba msaada wenu
 
Utaomba kama fresher na utalipia 30,000/= kama maelezo yao yanavyosema.
 
Back
Top Bottom