Ni udhalilishaji wa kukemewa kwa nguvu zote!! Shosti mie hakuna uharamu hata kwa wazazi maana baadhi ya hao watoto ndio huwa ndio wanakujaga kuokoa jahazi mbele ya safari. So eventually, unaishia kumshukuru Mungu aliekujalia kupata huyo mtoto, regardless of circumstances.hakuna mtoto haramu ,, kwanza kuni dhalilisha mtoto unapomwita haramu.. haramu ni wazazi waliomzaa
Kwahiyo (ALLAH) hahusiki kwenye uumbwaji wake tumboni mwa *****? [emoji101]Huyo Mtoto anaitwa MTOTO WA ZINAA
hapo wazazi ndiyo haramuInashangaza, mtoto ni haramu lakini wazazi siyo haramu.
ndiyo mkuu aisee ni kukosa kubwa sanaNi udhalilishaji wa kukemewa kwa nguvu zote!! Shosti mie hakuna uharamu hata kwa wazazi maana baadhi ya hao watoto ndio huwa ndio wanakujaga kuokoa jahazi mbele ya safari. So eventually, unaishia kumshukuru Mungu aliekujalia kupata huyo mtoto, regardless of circumstances.
Kwahiyo (ALLAH) hahusiki kwenye uumbwaji wake tumboni mwa *****? [emoji101]
Kabla ya kuhoji uhusika wa ALLAH,kwenye suala la mtoto wa haramu unatakiwa utoe aya au hadithi inayowataka waislamu wawaite watoto wa nje ya ndoa watoto wa haramu.Kwahiyo (ALLAH) hahusiki kwenye uumbwaji wake tumboni mwa *****? [emoji101]
Mbona unatokwa na povu jingi? Haya maneno kila kukicha mnayatunia mitaani.Wapi UISLAMU umemuita mtoto wa ZINAA kuwa ni Mtoto wa HARAMU?
Wagalatia km kawaida yenu mnaropoka bila kufikiri.
Na unapouliza Swali jaribu kushirikisha Kichwa japo siku moja.
Toka lini chanzo cha Kuzaliwa kwa mtoto kikahusishwa na Imani yake?
Kwaya na ulaji wa kiti moto vinawadhuru nyie.
Kitabu kilichotaja MTOTO WA HARAMU ni BIBLIA ambacho Kimepiga Marufuku Watoto hawa HATA Kuingia KANISANI (makutano ya Bwana) yeye na KIZAZI CHAKE CHA 10!!
Kumbukumbu la TORATI 23:1-2
1Aliyejeruhika konde, au aliyekatika tupu yake, asiingie mtu huyo katika mkutano wa Bwana.
2 MWANA WA HARAMU asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana.
NA ktK UISLAMU kauli ya KUDHALILISHA Watoto wa nje ya ndoa Na KUWABAGUWA namna Hii HAKUNA hatta sehemu Moja.
MNashindwa Kuangalia Uchafu Uliomo Kwenu Mnakuja uliza Maswali ya kipuuzi hapa.
Makatonta watu wa ajabu sana.
NdioKabla ya kuhoji uhusika wa ALLAH,kwenye suala la mtoto wa haramu unatakiwa utoe aya au hadithi inayowataka waislamu wawaite watoto wa nje ya ndoa watoto wa haramu.
Unalizungumziaje andiko la 23:2 kumbukumbu la torati?
Tazama sasa mgalatia unavyoendelea kuropoka ovyo.Mbona unatokwa na povu jingi? Haya maneno kila kukicha mnayatunia mitaani.
Hata wewe unatabia ya kutumia haya maneno (Mtoto wa Zinaa) kumaanisha kuwa ni mtu asiyefaa.
Ni tafsiri tu ya kiimani.....kwa Mungu na hata kibailogia hakuna kitu kama hichoLeo ningeomba kupewawa ufafanuzi kuhusu mtoto haramu.
Katika dini ya Uislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa huwa anaitwa mtoto haramu.
Kwa hoja hii huwa napata maswali kadhaa, yakiwemo haya.
1. Je, hawa watoto haramu huwa wanaumbwa na Mungu (Allah).
2. Je, mtoto alizaliwa nje ya ndoa (haramu), ambaye mamaye na babaye ni waislamu japo ni nje ya ndoa, huyu mtoto haramu akuwa ni mwislamu au siyo Mwislamu?
Karibu mnaojua hii kitu mnipe ufafanuzi.
Inashangaza, mtoto ni haramu lakini wazazi siyo haramu.
Kwa hiyo wanaotumia haramu wanakosea?
Hata wao si haramu bali haramu ni kile kitendoHakuna mtoto haramu.....
Haramu ni hao waliodunguana
hakuna mtoto haramu ,, kwanza kuni dhalilisha mtoto unapomwita haramu.. haramu ni wazazi waliomzaa