Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Kaka ni kweli bila kibali zamani huingii mwadui.lakini sasa unaweza kueleza tu getini unakwenda kumuona nani ukaruhusiwa.kumbuka mwadui ilikua imezungushiwa uzio yote na ulinzi wa kutosha kwa ajili ya mgodi wa almasi. Mahitaji yote enzi wazungu wapo yalipatikana supermarket(duka kubwa),hospitali ya uhakika,shule mabasi yalikuwemo mengi tu.iliitwa ulaya ndogo!yaani hapo Maganzo hapo? TusubirSimiyuyetu atatupa jibu, ila lisiwe la ki-CCM