Kuna kiasi cha pesa ujishafikia utahitaji tu mwanasheria, accountant,doctor, etc wa familia.
Ukiona huoni uhitaji wake au kama wewe hapo maswali mengiii ujue bado pesa yako ndogo sana
1. Kazi yake ni kuishauri familia kuhusu mambo yote ya kisheria, chochote kile kwa jicho la kisheria;Wakuu!
Naomba nijifunze hapa na wenzangu, maisha ya kila siku yanaongozwa na sheria. Iwe ni sheria za asili, au hizi sheria za kikatiba.
Ni kawaida kusikia familia fulani, acha kampuni, ina mwanasheria wake. Bila shaka ni mtatuzi kwa mambo ya kisheria, ila naomba nijue machache kumhusu...