Kuhusu NACTE transfer

LABY

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
16
Reaction score
0
Msaada kwa anayefahamu! Ukishadownload form za uhamisho na kujaza kwa wale wa NACTE zinatumwaje hizo form za maombi ? Sioni maelezo yao kabisa hawa nacte. Ni tangazo tu na form no directions kama wenzao wa TCU ! Dah !
 
Mbna nactee hawatoiii transfer jaman 2nasubirii had 2nakata tamaa wengnee washaanza ingia darasan
 
jamani nacte wanatoa lini majina na kama umepata, taarifa unazipata wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…