Kuhusu ndoa za jinsia moja: Katiba yetu ya sasa inasemaje?

Kuhusu ndoa za jinsia moja: Katiba yetu ya sasa inasemaje?

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Tumesikia Serikali ya Uganda ikiwekewa vikwazo na inayoitwa jumuiya ya kimataifa kwa kuweka sheria inayoharamisha ndoa na vitendo vya mapenzi ya jinsia moja. Serikali ya Uingerza pia imetangaza kuwa kukemea ushoga hadharani ni kosa kama la ugaidi.

Wanaharakati wa kiafrika walipongeza hatua ya nchi zilizopinga vitendo hivi, pia kulaani wanaounga mkono. Hapa kwetu baadhi ya wadau walitaka Serikali yetu itoe tamko kuhusu vitisho vya kimataifa kuhusu ndoa hizi za jinsia moja.

Kabla ya matamko au kutunga sheria mpya, ningependa kufahamu katiba yetu ya sasa inasemaje kuhusu ndoa hizi na mahusiano/mapenzi ya jinsi moja kwa ujumla.

Naomba mchango wenu wataalamu wa sheria na wadau wa jukwaa hili.
 
Katiba haizungumzii masuala ya ndoa, Bali sheria ya ndoa sura yab29 ya mwaka 1971,

sheria hii mama ya masuala ya ndoa katika kutafsiri nini maana ya ndoa, imeeleza kuwa, " ndoa Ni muungano baina ya mwanamume na mwanamke bila shuruti.

hivyo kwa tafsiri hiyo haitambui ndoa za jinsia 1.
 
ibara ya 53(3) ya rasimu ya katiba mpya inaelekeza kubadilika mfumo kutumika sheria za kimataifa za haki za binadamu kuwa wa moja kwa moja ( monoisim) tofauti na sasa ambapo sheria fulani ya nje haiwezi kutumika hadi ifanyiwe rattification kuweza kureflect jamii yetu. Ni kwa mtazamo huu utaona kifungu hicho cha katiba mpya kitapelekea sheria na matamko ya kimataifa kutumika moja kwa moja hapa kwetu bila kuwa na kontrol eti tu kwa kigezo cha haki za binadamu. Mfano kama mahusiano ya jinsia moja yakikubalika huko nje kuwa ni haki ya binadamu maana yake ni kuwa kwa kifungu hicho automaticaly hapa tanzania hiyo kitu itakua imehalalishwa.
 
Kazi tunayo hayo yatakapotimia.

Poleni mashoga maana hamkumbuki mungu yupo na ameagi mzae mujaze dunia je mtawezaje? Mkumbukeni mungu acheni upuzi
 
Poleni mashoga maana hamkumbuki mungu yupo na ameagi mzae mujaze dunia je mtawezaje? Mkumbukeni mungu acheni upuzi

Shoga mwenyewe, maluuni mkubwa wewe...
 
Back
Top Bottom