Kuhusu Ngao Ya Hisani: Je Simba SC wataamua kumeza matapishi yao wenyewe?

Unadhami mikia wanakumbukua kua waliongea iyo habari?wao kama kuku wanasahau haraka huwezi amini utawaona uwanjani na usiwaulize kwa nini wanacheza na Yanga watang'oa viti hee hee heee Manara ndio kawashikia akili hakika Rage alikua sahihi.
 
NAONA MMESAHAU BAKURI LENU LETENI TUWACHANGIE COZ NAONA MNAONGEA XANA RAGE RAGE NAONA KASHAKUWA M/KITI WENU BADALA YA YULE TEJA WENU KAMA MNAMHITAJI RAGE MNAWEZA KUMCHUKUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…