Siamini, haya ninayoyasoma humu! Masters...
Kwa level ya digrii ya uzamili nategemea ni mtu aliyeiva hata kwenye usaili unatakiwa kujua what do you expect of the job to bring you, your negotiating skills should lead you. Swala la mshahara ni jinsi gani ume-research kuhusu sector yako ya specialization. Anyway, labda kwa kesi hii mtu ambaye ameunganisha bachelor na masters moja kwa moja bila kufanya kazi kwanza. Lakini kama tayari una uzoefu wa 1-3 yrs, aah, com on man!Mkuu kwani tatizo liko wapi?
Kwa level ya digrii ya uzamili nategemea ni mtu aliyeiva hata kwenye usaili unatakiwa kujua what do you expect of the job to bring you, your negotiating skills should lead you. Swala la mshahara ni jinsi gani ume-research kuhusu sector yako ya specialization. Anyway, labda kwa kesi hii mtu ambaye ameunganisha bachelor na masters moja kwa moja bila kufanya kazi kwanza. Lakini kama tayari una uzoefu wa 1-3 yrs, aah, com on man!
Siamini, haya ninayoyasoma humu! Masters...
Ni kweli Mkuu,Jamaa wanalipa Vizuri,nina rafiki yangu ni Agent katika Call Centre yao na sio graduate na ana take home 800000 na ushee acha benefit in kind!
Hapo sasa tumia Utashi wako!!
IT is broad mkuu...sijui ni IT ipi? kama ni fundi hardware basi utapata salary hiyo hata kama una PhD.....if ni sehemu sensitive kama Database hapo u can talk.....anyway majuzi wametangaza nafasi ya ORACLE DBA HAPO NMB....je una OCP? masters doesnt matter arifuWanabodi nimekuwa nikiwasoma ktk janvi hili nikiwa nje ya wa uwanja, kwanza nawaomba mnisamehe kwa thread yangu ya kwanza kwa kuunza na swala la kutaka msaada.
Ombi langu kuu, ni kunifahamisha tu kiwango cha mshahara NMB, kwa fani ya IT nikiwa na masters, na kauzoefu ka mwaka 1-3. Najiaanda kwenda kwenye usaili naogopa kuvurunda. Asanteni na nakaribisha mwenye habari zaidi.
Ni kweli Mkuu,Jamaa wanalipa Vizuri,nina rafiki yangu ni Agent katika Call Centre yao na sio graduate na ana take home 800000 na ushee acha benefit in kind!
Hapo sasa tumia Utashi wako!!