Kuhusu NMB

mkuu kama umeitwa kwenye interview wewe kama wewe na haujatumia kitenzi kisaidizi (baba kanileta) basi komaa. Ila ninavowajua NMB ingawa sio zone zote hawakupi kazi kama hawakujui, mtaenda mtapiga interview then watapata kazi wale waliopanga wapate vinginevo wewe ni potential sana na umewathibitishia hivo na kweli wanakuhitaji.
 

so,sisi watoto wa "kajamba nani" tuzisahau post hizo eh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…