Utasikia, Mhe tutakuwa na mashahidi kumi, na pp anawataja kwa majina na hakimu anawaorodhesha.
Je, hao mashahidi wote ni lazima waje kutoa ushahidi au wanaweza kuletwa hata watatu? lakini pia je, hakimu anaposema mashahidi watumiwe samamsi maana yake mahakama ndo inawaita? , je wasipokuja wote maana yake ni nini?, wamekaidi? Nani anawajibika kuhakikisha mashahidi wanakuja mahakamani wote?
asante
Ivi watu watatu wanaposhtakiwa katika shtaka moja, lakini Inatokea hayo mashtaka wapewa tu na polisi ila aliyefanya tukio ni mmoja tu,Siyo lazima waje wote bali unaweza kuchagua hata watu watatu ambao wanajua kuongea na kujieleza vizuri ambao wanajua kesi yako vizuri na wakati wa tukio walikuwepo n,k.
Mwenye kesi ndiyo anajukumu kubwa kuhakikisha mashahidi wanafika mahakamani ili kutoa/kumtolea ushahidi.
Endapo utaitwa kwa samansi ya mahakma ukakaidi hilo nikosa la jinai maana umedharau wito wa mahakama.
Hivyo mahakama inaweza toa amri ukamatwe.