Ulitumia njia gani kuweka pesa payoneer
Mkuu naomba ufafanuzi wa hii payoneer card namna ya kuipata na matumizi yake kwa hapa kwetu,pia namna ya kuweka fedha. Na hela zinakuwa ni fomu ya Kitanzania (Tshs) au inakuwa kidoladola[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekua natumia Payoneer muda sasa..... Nambie ulishafanikiwa kutoa pesa toka kwa Payoneer account yako?
Mkuu Maswali yako na Majibu na Maswali mengine ambayo hujauliza yamejibiwa Vizuri kwenye Uzi wangu hapo chini...Ukiupitia utaelewa zaidi kuliko kukujibu swali moja moja hapa.Mkuu naomba ufafanuzi wa hii payoneer card namna ya kuipata na matumizi yake kwa hapa kwetu,pia namna ya kuweka fedha. Na hela zinakuwa ni fomu ya Kitanzania (Tshs) au inakuwa kidoladola[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app