Paypal kaka!!! mimi naitumia sana hiyo nikiwa nanunua vitu online, kama vile e-bay au sehemu zingine nyingi tu! Hiyo sio kitu ya kuwa na wasiwasi nayo bali ni system inayokulinda wewe kama mteja na muuzaji once registered!! Hii inasaidia secure kwamba unapolipia kitu online muuzaji anapewa taarifa kwamba umelipa atume mzigo, kwasababu wengi hawatumi mzigo kama hujalipia kwa sababu hujui nani anaagiza na kama utakamata mshiko kweli ama la!na unapolipa pesa zinakuwa zinavutwa kutoka account yako na kuwa on standby for a seller to recieve, the same for you unalipia lakini hujui nani unamlipa inaweza kuwa mbinde hapo katikati kama mzigo haujatumwa. kwa hiyo inakulinda kwa mtindo huo ukipokea mzigo unasaini ukienda kuuchukua na hapo muuzaji anavuta chake through paypal.! wonderfull system!! i hope nimekuelimisha angalau kidogo.