AGAPE BOY
Senior Member
- May 24, 2015
- 194
- 159
Kwanza poleni na majukmu,
Zingatia title ya uzi hapo juu,, kiufupi hii ni kozi ya mwaka mmoja ambayo mara nyingi inachukua wale ambao wamemaliza bachelor degree zao tofauti na education na wanataka waingie hasa kwenye taaluma hii ya kufundisha, kwa mujibu wa TCU mafunzo utakayopata yatakuwa level sawa na aliyesoma bachelor degree in education!!
Zipo zinazotolewa online, zipo za jioni tu na zipo zinazotolewa darasani,,,
Natamani sana kuchukua hii kozi na nawaza kuchukua hii ambayo iko delivered online ila wasiwasi wangu ni kwamba yawezekana hii ya online labda ikawa haina uzito sana sawa na ya kukaa darasani...
Kwa mliopitia hizi labda mnaweza mkashare experiences na mimi mnikwamue!!!
Nawasilisha[emoji1609]