Kuhusu postgraduate diploma in education

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
770
Reaction score
794
Habari za leo wanajamvi kuna mdogo wangu anataka kusoma postgraduate diploma in Education kuna mdau kaniambia serekali haiajiri tena hawa watu wa PGDE NI KWELI WADAU MLIOPO SECTOR YA ELIMU.
 
Habari za leo wanajamvi kuna mdogo wangu anataka kusoma postgraduate diploma in Education kuna mdau kaniambia serekali haiajiri tena hawa watu wa PGDE NI KWELI WADAU MLIOPO SECTOR YA ELIMU.

Graduate yeyote anayefundisha ili akubaliwe kuwa mwalimu lazima apate Postgraduate Diploma in Education. Malengo ni kwamba apate maadili na taaluma ya ualimu. Wale wanaosoma Education moja kwa moja wanapata vitu hivyo.
 
Ndio anataka kuajiriwa serekalini ila kuna mdau alisema eti Kassim Majaliwa...alisema PGDE hawataajiriwa tena serekalini ni kweli maana anataka kuanza mwaka huu mwez wa kumi UDSM
 
Wanaajiliwa kama kawa, najamaazangu kama wawili wamemaliza mwaka jana na mwaka huu wameajiliwa mmoja kasoma Open na mwingine Tumaini
 
ni kweli mkuu,tangu miaka ya nyuma baadhi ya halmashauri zilikua zinawabagua,vinginevyo awe mwalimu wa Sayansi!
 
Habari za leo wanajamvi kuna mdogo wangu anataka kusoma postgraduate diploma in Education kuna mdau kaniambia serekali haiajiri tena hawa watu wa PGDE NI KWELI WADAU MLIOPO SECTOR YA ELIMU.

wasikudanganye kwa sababu huo ni uongo. angalia ajira za walimu za mwezi wa nne mwaka huu utajua namaanisha nini. ni kwamba kuna majina mengi sana ya watu waliopiga PGDE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…