habarini za humu ndani,,mimi ni mwanafunzi wa chuo nataka kujiunga na postpaid ya tigo je nini kinachotakiwa kwa huduma hii jamani wenye uzoef naomben mnisaidie,,
Mm no mteja wao pia kwanza lazima uchague no kifurush gan unakitaka wanavyo papa vya laki tano.pili itabid u deposit hela ya kifurus unachotaka.use nabkitambulisho tu utaenjoy service in nzur sana