Kuhusu pre entry ya saut

Persie

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
188
Reaction score
15
Kwa wale mliosoma au mnasoma au kukifaham vizuri chuo cha saut kuna hii pree entry course sasa kuna girl friend wangu kachaguliwa kuingia pale mwaka huu kuisoma hiyo pre entry na waliambiwa wariport tarehe 6 lkn ameugua kidogo vp anaweza kupokelewa tarehe 9 hv au 10???? bt ada pamoja na hostel ameshalipia
 
kama ameshalipia kila ki2 atapokelewa 2 mwambie acjali.....,
 
Mitandao ya kijamii ktk 3rd kantri inatuathiri fanya mawasiliano na admin ya chuo jf akuna.lazima wakusaidie kulea chezea maisha ya mwanza wewe
 
Mitandao ya kijamii ktk 3rd kantri inatuathiri fanya mawasiliano na admin ya chuo jf akuna.lazima wakusaidie kulea chezea maisha ya mwanza wewe

Nimejikuta nacheka kwa hii post yako hapo kwenye blue,utafanya jamaa asimruhusu kwenda Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…