Kuhusu rate exchange za kwacha zambia

Pierre2017

Member
Joined
Apr 16, 2019
Posts
48
Reaction score
28
Habari,naomba kuuliza noti moja ya kwacha 20,000 ya zambia n sawa na tsh ngapi ya kitanzania!??
 

Attachments

  • IMG_20190622_104827.jpg
    285.1 KB · Views: 31
Jipatie vocha ya bure yenye Thamani ya Tsh 5000+ pindi unapo jiunga kupitia link hii https://jamiiforums.com/TaZpAeHdTX
 
Mkuu hizo ni za kitambo sana zishabadilishwa na hiyo haina thamani kabisa
 
Ok..kumbe hii haitumiki sahv maana nimeenda kwenye exchange rate mtandaoni naona ni 3... ml,sasa wengine wananiambia haizidi elfu 5 ko nkawa sielew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…