Hulipi....board watalipa fee....wewe utalipa direct cost ambazo ni lazima ulipe zote...
Check web ya aru utaona hizo cost...hazifiki 150000.
accomodation huwa mnapangiwa sema ziko limited yaani ni bahati kupata pia meaning kuna wengi huwa wanakosa,kuna hostel chuo na Mpakani karibu na Mwenge d_9