Kuhusu second batch loan board

Kuhusu second batch loan board

ham ha

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2013
Posts
283
Reaction score
48
kuna yeyote anaefahamu kama loan board wanatoa majina second batch. masaada tafadhali
 
dah! yaan ciamini kama ndo nimekosa mkopo hivi
 
kwa kweli m imeniuma saaanaah hapa sina hamu na feel kama m mgonjwa flani kama wameni nynyapa duuuuuuuh tupeane moyo tu jamni
 
Jaribu kufikiria happy moments you had,inaweza ikasaidia..pia ingia mmu unaeza ukacheka kidogo stress za kukosa mkopo si masihara
 
Back
Top Bottom