mbwiganyuki
Senior Member
- Nov 3, 2012
- 156
- 103
Waungwana samahani! naomba mnisaidie kama kuna yeyote anayejua lolote jipya kuhusu zile nafasi za National Facilitators walizotoa hao jamaa wa wizara ya Habari vijana michezo na utamaduni mwezi September na pia kama kuna aneyejua website ya hao jamaa mbali na ile ya www.muh.go.tz. Aksanteni sana.