Kuhusu Shortlist ya National Facilitators Wizara ya Habari Vijana Michezo na Utamaduni.

mbwiganyuki

Senior Member
Joined
Nov 3, 2012
Posts
156
Reaction score
103
Waungwana samahani! naomba mnisaidie kama kuna yeyote anayejua lolote jipya kuhusu zile nafasi za National Facilitators walizotoa hao jamaa wa wizara ya Habari vijana michezo na utamaduni mwezi September na pia kama kuna aneyejua website ya hao jamaa mbali na ile ya www.muh.go.tz. Aksanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…