Lady Janet
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 167
- 161
kweli hata wanaume huwa tunawekaga status za ajabu.ila ni ujinga kuweka status kam izo wasap ukijua contacts ulizonazo haziihusu iyo status au haina mashiko kwa wao wala hamna mtu anakaa asome status.
wanaume huwa tunafanyaga hivi.....profile photo nobody.Hivi status za watsapp huwa zina maana gani haswa kwa mfano mtu unaandika status iko hivi
"Mtasema sana na usiku mtalala"
"Kaa chonjo saa mbaya"
"Mama kijacho punguza kiherehere"
Hivi hapo unakuwa umemwambia nani hayo maneno sasa mi binafsi naonaga kama ni upeo mdogo wa kufikiri,kama nimekosea kwa anaeona umuhimu mnielekeze.
ASANTENI,
wanaume huwa tunafanyaga hivi.....profile photo nobody.
...Status nobody.....
last seen nobody...........
ofcourse ni sawa,watu husomi hizo status ila ni kwa bahati mbaya sana lada either mtu pale anapoangalia contacts katika wasap ake,ila sasa sio kitu kizuri hata ni kufikishiana ujumbe kwa mtu ambae tayari una contact ake si unampandia hewani mnamalizana au kama hamuelewani si mtu unafuta tuu namba yake,kweli kama ulivosema ni kujidhalilisha mkuu,na kufichua vitu vyako vya ndani au siri kwa watu wengine na tabia ambayo unayo lada imejificha utakuwa umeionesha wazi zaidi.shawahi kuona kwa marafiki zangu wa kike na wakiume ambao wakiwa wanaandika status za ajabuajabu au kuwapa,vijembe wapenzi wao kama wameshaachana,hasa mtu atakuwa kafuta namba ako then ule ujumbe hapati mtu ulomlenga,ni kitu cha kipuuzi sana ase.Mkuu hizo status zinasomwa usitake kusema hazisomwi..kuna mtu atakaa na kuisoma tuu hata iweje....na watu wanafikishiana vijembe vyao humohumo...ni kama maneno ya kanga tu..nimeshawahi andika status moja ya ajabu nikiamini watu hawasomi.Kuna raia wasiopungua watano kwa nyakati tofauti waka ni inbox kuwa unazingua..kama hawasomi waliionaje??Mtu anaweka status kufikisha ujumbe fulani..hata kama ni maneno ya shombo...Suala ni kwamba unajishushia heshima yako kwa wale watu wanaojiheshimu na wanaokuheshimu endapo unaweka status za aina hiyo.
ofcourse ni sawa,watu husomi hizo status ila ni kwa bahati mbaya sana lada either mtu pale anapoangalia contacts katika wasap ake,ila sasa sio kitu kizuri hata ni kufikishiana ujumbe kwa mtu ambae tayari una contact ake si unampandia hewani mnamalizana au kama hamuelewani si mtu unafuta tuu namba yake,kweli kama ulivosema ni kujidhalilisha mkuu,na kufichua vitu vyako vya ndani au siri kwa watu wengine na tabia ambayo unayo lada imejificha utakuwa umeionesha wazi zaidi.shawahi kuona kwa marafiki zangu wa kike na wakiume ambao wakiwa wanaandika status za ajabuajabu au kuwapa,vijembe wapenzi wao kama wameshaachana,hasa mtu atakuwa kafuta namba ako then ule ujumbe hapati mtu ulomlenga,ni kitu cha kipuuzi sana ase.
kweli kabisa mkuu.....Well said mkuu...ni kitu ambacho siungi mkono mimi binafsi sababu kama ulivyoziainisha hapo pamoja na kujidhalilisha