Kuhusu suala la Kagere, Kaduguda umetuachia maswali yasiyo na majibu

Anaitwa Simba ya Yuda aka "ngumi mkononi"
 
Kuna ugomvi kati ya Kagere na Boco, ukitaka kuamini tafuta video walipokuwa wakishangilia goli la chama dhidi ya polisi
Niliiona pia hii kitu mkuu, nikarudia kuitazama ile clip mara kadhaa na nikajiridhisha kabisa kuna tatizo kati ya Bocco na Kagere
 
Alichokwepa kukisema kadugunda ni kusema Kagere ni mzee sana, anapona polepole sana akiumia. Rwanda imemtumia hivyohivyo kwakuwa haikuwa na mbadala, yaani ni sawa na gari kupata pancha usiku maeneo ya kinondoni manyanya, utaliendesha hivyohivyo hata ikibidi kuharibu rim ili kuepuka madhara ya vibaka wa manyanya.
 
Simba wa yuda anapambania tumbo lake tu,ndiyo maana alidai mpaka chapati zake alizowanunulia wachezaji wa mikia
 
Bocco kamfanya mugalu arudi kongo

Mkude kamfanya bwalya arudi zambia
 
Mikia mna mambo
Mara kagere kampa kipondo kishingo.

Mara mnapigana vipapai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…