Kuhusu Swala la vitambulisho vya Nida nakupongeza sana Bashungwa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Bashungwa nakupongeza .

Kwa sasa utartibu uliopo Nida umekaa kisomi Sana .

Ikiwa MTU jina lake lilikosewa n.k anafata utaratibu ambao ndani ya wiki mbili mpaka tatu majina yanakuwa yamebadilika.

Ule usumbufu wa Kutangaza katika Gazeti haupo.

Ule utartibu wa kwenda ardhi na mambo na viapo hamna.

This is professionalism .

Asante sana na hongera Bashungwa umefanya Kazi kubwa Sana kwa hili.
 
Kazi kubwa zaidi ya wizara ya mambo ya ndani ni usalama wa raia
 
Ndugu yangu acha siasa basi, Mimi Hadi nimekata tamaa tangu mwaka Jana 2024 February niliomba kurekebisha jina Hadi Leo nimekwama na nimetulia sasa, waliniomba nyaraka nyingi nikawapatia zote ila wakanigomea...Hadi nikaenda Dodoma ...wa Dodoma akasema wengine wanafoji nyaraka kalete original...nikaenda kuwapelekea orijino ya nyaraka Bado wamenigomea kubadili jina. Nilitapeliwa na elfu 20 nikatuma kwa namba yao inasoma Angelina wakidai ni namba yao ktk ukurasa wa NIDA mitandaoni....nimekosa. nimeamua kuacha nalo....maisha yanawezekana bila hiyo kitu😋. Tangu niende Dodoma may 2025 sijawarudia tena.....ujumbe wako huo naona ni porojo tu hapa ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…