The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Kwenu TCRA na waziri wa mawasiliano na uchukuzi, mbona mambo hayako kama ambavyo mlitaka tuamini kuwa yatakuwa?
1. Gharama ya bundle bado zinatofautiana kutoka mtandao mmoja na mwingine japo mlisema mnaweka uniformity (Sera ya Ujamaa na Kujitegemea)
2. Hakuna kushea bando kama ambavyo mlituaminisha wananchi kuwa mnakuja na kanuni hiyo ya kuruhusu watu kupasiana mabando. Ni mtandao wa HALOTEL pekee wana option hiyo ktk main MENU yao.
Hao hapo juu (screen shot) ni Halotel. Namba 9 "Tunashea Bando" inaruhusu kumgawia mwezio bando la Internet pekee, lakini hawana option ya kushea muda wa maongezo...
Kwa upande wa Vodacom hawana option hiyo. Mambo ni kama zamani tu. Tazama screen shot MAIN MENU ya Vodacom, hawana ishu ya "kushea bando".
Huko TIGO, AIRTEL, TTCL, ZANTEL hata sijui labda kama kuna anayejua anaweza kushea nasi.