Kuhusu tcu na selection status

ABDUELI

Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
11
Reaction score
0
Jamani naomba mnisaidie mimi nimeomba chuo mwaka huu kwa kupitia tcu lakini mpaka sasa hivi nikiangalia my profile kwenye selection status inaonyesha not yet processed,inamaana muda bado au ndiyo imekula kwangu.
 
Mkuu selection bado ila nakumbuka nilisoma gazeti la mwananchi siku za nyuma kidogo walisema selection itafanyika trh 15 july.Tatizo hiyo siku itakuwa jumapili sasa sijui walikosea au ndio itakavyokuwa!
Tusubiri tu mkuu.
 
Usihofu kwa hilo hata Matokeo yalitoka Mei Mosi
 
Mkuu selection bado ila nakumbuka nilisoma gazeti la mwananchi siku za nyuma kidogo walisema selection itafanyika trh 15 july.Tatizo hiyo siku itakuwa jumapili sasa sijui walikosea au ndio itakavyokuwa!
Tusubiri tu mkuu.

alaf wanaitoa lin? Coz hiyo ndo cku wanakutana na kufanya selection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…