Kuhusu TCU

beniko

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
94
Reaction score
9
Je unapo fanya application za vyuo TCU nivyeti gani vya muhimu vya kuambatanisha. Naombeni tusaidiane wadau.
 
M nimefanya via vyeti vya diploma. Transcript ya chuo ni muhimu original sio photocopy, cheti cha advance au result slip, cheti cha o level leaving certificate pia kama sija sahau. cha msingi cheti na leaving certificate za o na Advance level weka karibu yako then anda na transcript ya chuo. info zingine zita toka kwenye hivyo vyeti.
 
Je unapo fanya application za vyuo TCU nivyeti gani vya muhimu vya kuambatanisha. Naombeni tusaidiane wadau.

Through CAS huambatanish vyeti ukijza namba zako za mtihani informations zako zitakuja zenyewe sahivi kila kitu kinaenda kidigitally
 
Je unapo fanya application za vyuo TCU nivyeti gani vya muhimu vya kuambatanisha. Naombeni tusaidiane wadau.

CAS huambatanishi kitu ni namba zako za usajili ulizosajiliwa kufanyia mitihani yako either dip.,o level, a level

but HESLB unaambatanisha
 
Je unapo fanya application za vyuo TCU nivyeti gani vya muhimu vya kuambatanisha. Naombeni tusaidiane wadau.

Kitu muhimu no namba yako ya mtihani tu ivo vyeti wao tcu wanavyo haina haja ya kuviweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…