Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu ni miongoni mwa Ma RPC wa nchi hii wasioaminika , Kwa mfano , Mapema baada ya Polisi kufyatua risasi za moto kwenye mkusanyiko wa Chadema maeneo ya Kinondoni Mkwajuni , Mambosasa alijitokeza hadharani na kukiri polisi kuhusika ( hapa jf zipo clip zake kuhusu jambo hili ) , baadhi ya askari wakakamatwa .
Lakini baada ya siku chache akakengeuka na kuanza kuihusisha Chadema na mauaji , ambapo mpaka leo kuna kesi mahakamani ikiwahusisha Viongozi wa Chadema na mauaji yale , huku ukisukwa mkakati wa kishamba ili kuwafunga , wale Askari wote waliohusika walishaachiwa.
Lengo langu si kurudia kusimulia yanayofahamika na kila mmoja , bali ni kujaribu kuwatoa usingizini wote wanaoamini kauli ya mambo sasa kuhusu Tito Magoti , Mambosasa ni kama kinyonga , kesho aweza kukana kauli yake na huenda ndio sababu mpaka sasa hakusema Magoti yuko kituo gani cha polisi .