Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau,
Ningependa kujua kuhusu TOEFL (Test Of English as a Foreign Language). Wapi ninapoweza kujisajili kufanya mtihani huo na huwa unafanyika mara ngapi kwa mwaka.
Thanks
aisee kwani mkuu TOEFL inafanywa na watu wanaotaka kufanya nini?Kwanini unataka kufanya test hiyo?
Mkuu Rainbow, ingia kwenye web yao
TOEFL: Test of English as a Foreign Language
kama uko TZ ingia kwa hii web ifuatayo utapata jua jinsi ya kujisajii, tarehe za tests, sehemu inakofanyika na malipo
Register for the TOEFL® Test
aisee kwani mkuu TOEFL inafanywa na watu wanaotaka kufanya nini?