Zipo nyingi na ww ulioiona ni hybridNilikuwa naangalia gari linalotumia mafuta kidogo, nikakuta prius iko top ten, sasa sijawahi kuliona hapa tz, kama kuna mwenye uzoefu nalo naomba anipe highlights zake, pamoja na ABC za hybrid battery
Nimeziona beforward.jp, je kama ukiagiza zitafaa kwa huku tzPrius zipo nyingi tu sema kwa vile nyie mnatumia za miaka 10 mpaka 20 iliopita ni ngumu kuzipata hizo hybrid kwa wakati.
Eh zinafaa ila nunua yenye mifumo yote wa mafuta na battery ambayo ndio hio hybrid.Nimeziona beforward.jp, je kama ukiagiza zitafaa kwa huku tz
Nafahamu hilo ila uwezo wangu ni model za nyumaPrius toleo la 2017 inakwenda mpaka 40km/L. Wewe unasema hadi 20km/L!
Ulifanikiwa Kiongozi? Nilitaka kuaagiza nataka ushauriAsanteni ila ningempata aliwahi kuzitumia ingependeza zaidi